Ndiyo maana Heraclitus - mwanafalsafa wa kale wa Ugiriki aliwahi kusema kwamba "huwezi kuogelea mara mbili katika mto ule ule". Lakini pia tukumbuke kwamba kila kitu ni tofauti ingawa hakuna kilichobadilika. Tutafakari!
Tuesday, August 9, 2011
NENO LA LEO: NUKTA ZINAYOYOMA NA MUDA UNAKWENDA. UNAJUA KINACHOENDELEA ???
Labels:
FALSAFA,
MISEMO YA BUSARA NA METHALI,
MOTISHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post inatisha hii -UKITAFAKARI!
ReplyDeleteVingenevyo utaishia kudhani ni simulizi ya maisha ya nyoka. Kumbe ni kujivua gamba kunakotumiwa na viongozi ktk chama hivi.
ReplyDelete